Burudani

Kanye West na Kim Kardashian bado wanahaha kutafuta jina la mtoto wao ajaye

Muda wa kumpokea mtoto wa pili umekaribia lakini Kim Kardashian na Kanye West wanadaiwa hadi sasa hawajapata jina la kumpa.

1420671242_kanye-west-kim-kardashian-zoom

Vyanzo vimeuambia mtandao wa TMZ kuwa wanandoa hao wamekuwa wakijadiliana majina ya kumpa lakini bado hawajapenda hata moja.

Wanatarajia kupata mtoto wa kiume siku ya Christmas japo Kim anahofia kuwa anaweza kujifungua mapema zaidi. Kanye na Kim wana mtoto wa kike, North.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents