Michezo

Karibu Pablo Franco, mfumo wangu kesho – Nabi wa Yanga amtumia salamu kocha wa Simba

Kocha Mkuu wa Young Africans SC, Nasreddine Nabi ametumia muda wake wa mkutano na waandishi wa habari kumkaribisha kocha mgeni katika NBC Premier Leahgue, Pablo Franco wa Simba na kumuambia Tanzania ni nchi yenye amani na utulivu na watu wake nawanapenda soka, ameyasema hayo kuelekea mchezo wao wa Derby ya Kariakoo hepo kesho kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa.

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents