Bongo5 ExclusivesBurudaniDiamond PlatnumzHabari
Kauli ya kwanza ya Harmonize baada ya kutua uwanja wa Ndege
Staa wa Bongo Fleva na CEO wa lebo ya @kondegang @harmonize_tz alivyotua Waandishi walimuendea ili wapige naye stori ila akachomoa betri.
@harmonize_tz amewaomba waandoshi asizungumze chochote maana amechoka sana amesafiri siku tatu hivyo ataandaa press ili aje aongee yote.
Mbali na hilo @harmonize_tz amesema kuwa amejifunza mengi sana na anataka kuongea hasa kuhusu ukuaji wa muziki wa Bongo Fleva.