Habari

Mwili wa Zuchy wapokelewa kwa Bibi yake (Video)

Tayari Mwili wa Zuchy (Mpiga Picha wa Millard Ayo) ulivyowasili nyumbani kwa Bibi yake Chanika jioni la leo.

Mwili wa Zuchy utakuwa hapa Chanika ambapo utaagwa na ndugu jamaa Marafiki na jirani kabla ya kesho kuagwa kwenye viwnaja vya Leaders Jijini Dar Es Salaam.

Baada ya Shughuli zote kukamilika hapo kesho Leaders mwili huo utapumzishwa kwenye makaburi ya Kinondoni Jijini Dar Es Salaam.#RIPZUCHY

 

Kuangalia Video kamili Bonyeza Link hapa chini:

 

 

 

 

 

Imeandikwa na Mbanga B.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents