Habari

Kenya: Msanii Timmy Tdat auweka hadharini mjengo wake wakifahari

Msanii Timmy Tdat ambae anatamba na ngoma “Wote wazuri” aliyomshirikisha msanii nyota Brown Mauzo mwenye makazi yake mjini Mombasa, amerusha picha zikionyesha mjengo wake mpya ambao upo kwenye hatua za mwisho kumalizika kujengwa.

Timmy ambae ameshawahi kugonga vichwa vya habari kwa kukisiwa kutoka kimapenzi na staa wa hapa Tanzania Rosa Ree.

Mashabiki wamejitokeza kwa wingi kumsifu Timmy Tdat kwa hatua hii ila wamemsihii atafute mke aoe na atulie.

Imeandikwa na muandishi Changez Ndzai – Kenya

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents