Bongo5 ExclusivesBurudaniHabari

Kicheche na Asmah waachia baada ya kulipa faini, bado Clam Vevo – Bodi ya Filamu

Baada ya taarifa za kuwa wasanii wa vichekesho Clam Vevo na Kicheche kukamatwa @el_mando_tz amezungumza na Katibu Mkuu wa Bodi ya Filam Dkr. Kilonzo na kuthibitisha kuwa walikamatwa watatu ambao ni Kicheche na Asmah ambao walikamatwa alhamisi ya wiki iliyopita na Clam alikamatwa jana.

Tayari Asmah na Kicheche wameachiwa bado Clam anamalizia taratibu za malipo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents