Bongo5 ExclusivesBurudaniFahamuHabari
Wasanii walikamatwa watatu, Kicheche, Clam na Asmah
Baada ya taarifa za kuwa wasanii wa vichekesho Clam Vevo na Kicheche kukamatwa @el_mando_tz amezungumza na Katibu Mkuu wa Bodi ya Filam Dkr. Kilonzo na kuthibitisha kuwa walikamatwa watatu ambao ni Kicheche na Asmah ambao walikamatwa alhamisi ya wiki iliyopita na Clam alikamatwa jana.
Tayari Asmah na Kicheche wameachiwa bado Clam anamalizia taratibu za malipo.