
Jarida kubwa barani Afrika linalojulikana kwa jina la Africa Facts Zone limetoa orodha ya wasanii wakubwa barani Afrika wanavyolipwa kwenye show zao.
Jarida hilo limeandika kuwa “Africa’s Highest Booking Fees”
Wasanii wa kwanza wanaoongoza ni Wizkid, Burna Boy, Rema – $1 million kila mmoja ambayo ni sawa na bilioni 2.5 za Kitanzania
4. Davido – $600,000 sawa bilioni 1.5 ya Kitanzania
5. Asake, Olamide – $500,000 kila mmoja ambayo ni sawa na bilioni 1.2 ya Kitanzania
7. Black Coffee – $300,000 sawa na milioni 754 ya Kitanzania
8. Kizz Daniel – $200,000 ambayo ni sawa milioni 503 ya Kitanzania
9. Amr Diab – $170,000 sawa na milioni 427 ya Kitanzania
10. Shatta Wale – $120,000 sawa na milioni 301 za Kitanzania
11. Tiwa Savage, Diamond Platinumz, – $100,000 kila mmoja ambayo ni sawa na milioni 251 ya Kitanzania
13. Yemi Alade – $75,000 sawa na 188 ya Kitanzania
14. Flavour – $70,000 sawa na milioni 176 ya Kitanzania