Burudani

Kim Kardashian kulipwa dola milioni 1 kula bata na mtoto wa kifalme wa Saudi Arabia

Kim Kardashian anadaiwa kupewa ofa ya dola milioni 1 ili kula baada jioni moja na mtoto wa familia ya kifalme ya Sauti Arabia.

USC Shoah Foundation's 20th Anniversary Gala - Reception

Mrs Kardashian-West anatarajia kusafiri hadi Saudi Arabia mwezi January, kama mgeni maalum wa mtoto huyo. Ofa hiyo ilitangazwa na Adel Al-Otaibi kwenye akaunti ya Kim ya Instagram.

‘I’m Saudi and I’ll pay you one million per night Mai,” aliandika kwenye maoni.

Na sasa mtandao wa udaku wa MediaTakeOut umeripoti kuwa Kim amekubali ofa hiyo na ataenda mwakani. Kim bado hajathibitisha ripoti hizo ambazo zinadaiwa kuwa gumzo Saudi Arabia.

Related Articles

Leave a Reply

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents