Burudani

Kim Kardashian na Kanye kutoka na Nyimbo

kimk

Baada ya kuwepo kwa fununu hollywood kuhusu kuwepo kwa uhusiano kati ya Rap star Kanye West na Mwanadada Kim Kardashian, wawili hao wameibuka na kutoa tamko kwamba Kanye anaproduce nyimbo ya Kumtoa Kimmy K kimuziki.

Pamoja na mastar hao kukanusha kuwepo kwa uhusiano wa kimapenzi kai yao, wameweka wazi kuwa watafanya kazi pamoja hasa kwa kupitia fashion ambapo Kim amebobea na Kimuziki alipokuwa Kanye. Wawili hao wamekiri kuadmire kazi kila mmoja anafanya na kutaka kufanya collabo zaidi.

Inasemekana Kanye tayari amewasiliana na Hype William aliyefanya kazi na Kanye miaka mingi katika video zake kufanay video ya Kimy K ya kwanza itakayoenda kwa jina la ‘Turn it Up’

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents