Habari

Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong-un alivyoongoza shughuli ya kufanyia majaraibio makombora, Trump atoa neno

Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong-un alivyoongoza shughuli ya kufanyia majaraibio makombora, Trump atoa neno

Korea Kaskazini imethibitisha kuwa rais Kim Jong-un ameongoza mwenyewe shughuli ya kufanyia majaribio makombora kadhaa ya masafa ya kadri na yale ya masafa ya mbali. “Makombora kadhaa ya masafa mafupi pia” yalirushwa kutoka rasi ya Hodo hadi bahari ya Japan.

Kwa mujibu wa BBC. Kiongozi huyo alito igizo la kurushwa kwa makombora hayo ili “kuimarisha uwezo wa kujihami” kwa taifa, lilisema tangazo la shirika la kitaifa la habari la nchi hiyo.

Rais wa Marekani Donald Trump aliandika katika mtandao wake wa Twitter kuwa anaamini Bw. Kim hawezi kuvuruga uhusiano wao pamoja hatua waliyofikia katika harakati za kuleta usalama katika rasi ya Korea.

Aliongeza kuwa Kiongozi huyo wa Korea Kaskazini “anajua kuwa anaweza kunitegemea kwa hilina kwamba katu hatavunja ahadi yake kwangu. Muafaka utapatikan!

“Naamini kuwa Kim Jong-Un fana fahamu fika uwezo wa kiuchumi wa Korea Kaskazini na hatafanya lolote baya kurudisha kudidimiza matumaini hayo,” Bw Trump aliandika katika Twitter yake

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents