Michezo

Simba kinara mitandaoni, Kitu gani kinaifanya ifanya vizuri

Moja ya sehemu ya kutambua ni kwa namna gani watu wanakufuatilia na kupenda kazi unayofanya ni mitandao ya kijamii.

Katika vilabu ambavyo vinafanya vizuri kwenye mitandao ya kijamii Afrika ukiitoa Al ahyl ya Misri ni @simbasctanzania ya Tanzania ambapo Instagram tu ina wafuasi mil 3.1 huku Al ahyl ikiwa na wafuasi mil 7.3.

Huku Twitter @simbasctanzania wakiwa na followers 701k ingawa kuna vilabu vingine vyenye wafuasi wengi Twitter.

Kwa upande wa Afrika Mashariki Simba ndio kinara kwenye mitandao ya kijamii.

Swali kubwa ni kwamba kitu gani kinaifanya @simbasctanzania kufanya vizuri kwenye mitandao ya kijamii ukifananisha ma wapinzani wao @yangasc ambao wao Twitter wana followers 171.4k huku @simbasctanzania wakiwa na 701k tofauti kubwa sana Twitter lakini pia Instagram @simbasctanzania wakiwa na followers 3.1 mil na @yangasc wakiwa na 1.6 mil Followers ….?

Dondosha maoni yako hapa chini tuambie ni kitu gani kinaifanya @simbasctanzania kufanya vizuri mitamdaoni ikimaanisha brand yao ni kubwa kuliko vilabu vyote Afrika Mashariki..?

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents