Habari

Kumbukumbu: Marekani yaadhimisha shambulio la Septemba 11(+Picha)

Marekani inaadhimisha mwaka wa kumi na sita tangu shambulio la kigaidi lililouwa watu 3000 na kujeruhi watu 6,000 huku ikiisababishia nchi hiyo hasara ya Dola Bilioni 10 ambazo ni zaidi ya Tsh Trilioni 22.

Katika tukio hilo ndege ilitekwa nyara na kundi la Al-Qaeda wakiongozwa na Osama bin Laden, waligonga jengo refu la World Trade Center maarufu kama ‘Twin towers’ mjini New York, na kupelekea kutokea hali ya sinto fahamu. Tukio hili lilitokea wakati Rais George Bush akiwa madarakani na limekuwa likienziwa kila mwaka.

Shambulio hilo la Septemba 11 lilisababisha uvamizi wa Marekani nchini Afghanistan na Iraq,na lilisababisha mashambulio zaidi ya kigaidi kutoka Bali hadi Brussels.

Picha By Mtandao

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents