Habari
Baraza la Maaskofu Katoliki watoa tamko kushambuliwa kwa Mhe. Lissu
Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), wamelaani tukio la kushambuliwa kwa kupigwa risasi kwa Mbunge wa Singida Mashariki, Mhe. Tundu Lissu.
Soma taarifa kamili:
Mbunge huyo aliyejeruhiwa tarehe 7, Septemba kwa kupigwa risasi eneo la ‘area D’ mjini Dodoma.