Burudani

Lauryn Hill aomba radhi kwa kushindwa kutumbuiza Nigeria kwa video hii ya kuvutia

Lauryn Hill alikuwa atumbuize jijini Lagos, Nigeria Ijumaa hii kwenye siku ya wafanyakazi duniani. Hata hivyo kutokana na sababu zilizokuwa juu ya uwezo wake hakuweza kusafiri kwenda nchini humo.

Kutakana na hali hiyo, Hill alitumia mtandao wa Facebook kuomba radhi:

“We are disappointed to report that we will not be performing at tonight’s concert,” Hill wrote on her Facebook page Friday. “From our end, we did everything we were supposed to do, including waiting at the airport for many hours, ready to fly out and share the evening with you. Unfortunately, after much effort, the promoter was not able to get all of our travel arrangements taken care of. This prevented us from being able to fly into Nigeria in time to make the concert. We were all very excited to come, and very disappointed that we couldn’t make this one. HOWEVER, we are working to reschedule our appearance ASAP.”

Hiyo haikutosha kwakuwa alirekodi video hiyo juu kusisitiza kuomba radhi kwa kuimba wimbo wake uliohit miaka ya nyumba. “Doo Wop (That Thing)”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents