Burudani

Lil Wayne na 2 Chainz kuja na mixtape ya pamoja ‘ColliGrove’

Huu ni msimu wa wasanii kufanya album/mixtapes za ushirikiano. Baada ya Drake na Future, French Montana na Fetty Wap kufanya mixtape za kushirikiana, rapper Lil Wayne na 2 Chains nao wametangaza kuja na project ya pamoja waliyoiita ‘ColliGrove’.

lil-wayne-2-chainz

Pamoja na kuja na mixtape ya pamoja lakini Weezy na 2 Chainz wanaendelea kutoa projects zao binafsi.

Mwezi wa 8 mwaka huu 2 Chainz aliachia mixtape yake inaitwa ‘Trapavelli Tre’, na Weezy anampango wa kuachia yake ‘No Ceilings 2’ Nov.26.

Wakati huo huo 2 Chainz alipokuwa kwenye mahojiano na Rap Radar , amesema anakuja na album yake mpya’ B C’ (Before Chainz) ambayo Imekamilika.

“It’s gonna be called B.C., like B.C. and A.D. B.C. is Before Chainz, obviously. A.D. would be like After the Dope Game, After the drugs, everything is a different feel. But B.C. is done. It’s Tity Boi. It’s nostalgic.”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents