Burudani

Love You Die ya Patoranking na Diamond yamvuta Lui (+video)

Msanii wa muziki Bongo, Lui ameeleza sababu ya kuifanyia cover ngoma ‘Love You Die’ ya Patoranking na Diamond.

Muimbaji huyo ambaye kwa sasa anafanya vizuri na ngoma yake mpya ‘1 on 1’ amesema kuwa kufanya hivyo ni kuonyesha kuwa ngoma hiyo imekubalika kwa kiasi kikubwa.

“Kingine ni wimbo mzuri na waliofanya mule ndani ni watu wakubwa anything can happen, unaweza ukafanya hiyo cover watu wakaona na yeye mwenyewe anaweza akaona mwisho wa siku unaweza ukapata dili” ameiambia Bongo5.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents