BurudaniHabariTechnology

Lukamba afungua App yake rasmi ya Lukash Net, aeleza inavyofanya kazi

Alikuwa mpiga picha wa Diamond Platnumz Lukamba ametangaza kuzindua APP yake rasmi ambayo inaitwa LUKASH NET,  Kupitia mitandao yake ya kijamii Lukamba ameeleza namna APP hiyo itakavyokuwa inafanya kazi na wapi itakuwa inapatikana.

Ikumbukwe Lukamba miezi kadha anyuma alitangaza kuacha kufanya kazi na Diamond na kufungua ofisi yake ya Imagix media, sasa maetangaza kufungua APP ambayo itakuwa maalumu kwa ajili ya kuweka Filamu mbalimbali.

Msikilize Lukamba anavyoeleza halafu toa maoni yako.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents