Bongo5 ExclusivesBurudaniHabariMahojiano

Lukamba: Alikiba hawezi kuchukia mafanikio yangu, natamani nimpige picha

Lukamba ameeleza kutamani kufanya kazi na @officialalikiba kwa kumpiga picha baada ya kuanza kufanya kazi na vijana wake akina @k2ga_tz

Ameongeza kuwa anatamni kuwa na sawa na kila mtu maana zamani kuna sehemu ilikuwa ngumu kuzifikia wakati anafanya kazi na @diamondplatnumz

Mbali na @officialalikiba pia ana Wish siku moha kufanya kazi pia na @harmonize_tz maana ni muda sana kuonana naye na hata kuongea naye baada ya @harmonize_tz kuondoka WCB.

@lukambaofficial ameongelea kukerwa na Watangazaji wa Wasafi FM @jumalokole20 na @idriskitaa akidai wanamuongelea vibaya kwenye kipindi licha ya yeye kuondoka kwa @diamondplatnumz haliyakuwa mawasiliano yake na @diamondplatnumz yako vizuri.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents