Burudani
Lukamba anapenda kulelewa ila ana jambo lake (Video)
Aliyekuwa mpiga picha wa Diamond @lukambaofficial amezungumza na waandishi wa habari na hii ni baada ya kusifiwa na Mwigizaji Vicent Kigosi kuhusu upekee wake katika uwigizaji wa filamu.
Ifahamike kuwa Lukamba atatarajiwa kuonekana katika tamthilia mpya ya Jeraha inayosimamiwa na Kampuni ya Azam Media Group (AML) itakayo onyeshwa katika chaneli ya sinema zetu.