Burudani
Steve Nyerere akikutana na Zumaridi “Kwanza kichwa halafu bakora” (Video)
Msanii wa filamu na Mwenyekiti wa Uzalendo Kwanza @stevenyerere2 ameshangazwa na ukimya wa baadhi ya watu juu ya wachungaji wa aina ya Zumaridi ambao wamekuwa wakiibuka kila uchwao.
Amedai hali hiyo sio Tanzania pekee akitoa mfano mchungaji ambaye ameshinda mchezo wa bahati nasibu na kuamua kufunga kanisa na kuwaacha waumini kwenye mataaa.
Ameiomba serikali pamoja na Wizara ya Mambo ya Ndani kuchukua hatua za haraka kwa wachungaji wa namna hii ili kuiepuka upotoshwaji mkubwa ambao unafanywa.
Kuangalia full interview tembelea YouTube ya Bongo5
Written and edited by @yasiningitu