Burudani

Madee awatoa povu mashabiki kisa ndinga hili

Msanii wa muziki kutoka Tip Top Connection, Madee Ali, amepongezwa na baadhi ya mashabiki wake kupitia mtandao wa Instagram baada ya kuonyesha gari aina Escalade.

              Madee akiwa mbele ya gari hiyo ambayo haijathibitika

                                       mara moja kama ni yake au la.

Muimbaji huyo ambaye hupenda kuonyesha baadhi ya vitu vyake vya thamani anavyovimiliki, alipost picha ya gari aina ya Escalade yenye plate namba ya jina lake.

“Gangster paradise!!! #WinoMweusi,” Madee alitoa ujumbe huyo alivyopost picha ya gari hiyo.

Hata hivyo baadhi ya mashabiki wake kupitia mtandao huyo hawakuonyesha kufurahishwa na kitendo hicho huku wengine wakimshauri kujenga na sio kununua magari ya kifahari.

Angalia maoni ya mashabiki hao.

suleyy_jr
Uwiiiii madeeeeeh mgariii wotte huooo chal ang c borra ujengee nyumbaa ya kupangishaa aseee dsm hapooooo…..@madeeali

amirysound06541
Umetishaa mzeee nishidaaaaaa hatakidore watakaaaa

bizklespo
Mnatoa wap pesa za kuvuta escalade… daaah hongera km n lako.

salmamohammed2586

Wooooooow
iddsombokoBrother MADEE umetisha hongera sana bonge ya ndinga#wameshasoma Hadithi ya KIBANTU..

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents