Habari

Menejimenti ya utumishi wa umma yatoa tahadhari

Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora imesema kwamba, kumekuwa na utapeli unaofanywa na watumishi kupitia simu za mkononi, kwa kuombwa miadi na watu wanaodai kufanyakazi serikalini.

Pata taarifa kamili:

Na Emmy Mwaipopo

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents