Burudani

Madonna akutana na Mama Margaret Kenyatta kwenye ziara yake Kenya

Muimbaji wa Marekani na mshindi wa tuzo za Grammy, Madonna, amekutana na mke wa rais wa Kenya, Margaret Kenyatta kwenye ziara yake aliyoifanya nchini humo.

MADONNA_ND_FIRST_LADY

Madonna ambaye amekuwa nchini Kenya kwa takriban wiki moja kwa kufanya ziara ya kutembelea makazi duni ya Kibera, ni muasisi wa taasisi ya Raising Malawi na balozi mwema wa Child Welfare nchini Kenya, amekutana na Mama Margaret ambaye ni muasisi wa kampeni ya ‘Beyond Zero’.

Drake-cr-Caitlin-Cronenberg-2016-billboard-1548-650

Ameshare picha kwenye akaunti yake ya Instagram akiwa kwenye ofisi ya Mama Margaret Kenyatta.

“Meeting with Her Excellency Margaret Kenyatta, the first lady of Kenya! Learning about her Beyond Zero Campaign which targets eliminating maternal and child mortality in Kenya and hoping to join forces to promote Female Empowerment! Around the World! ????????????????????????????????????????????happy 4th! ????????,” ameandika Madonna kwenye picha moja.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents