Michezo

Maisha ya Yacht: Cristiano Ronaldo, mama yake na mwanae wala bata Ibiza (Picha)

Baada ya ushindi kinachofuata ni kusherehekea. Na hakuna sherehe nzuri kama unapomchukua mama yako mzazi na mwanao kuwapeleka kwenye kisiwa cha raha duniani, Ibiza, Hispania.

363E18F200000578-3689023-Well_deserved_Cristiano_Ronaldo_31_recovered_from_Portugal_s_Eur-a-55_1468443769568
Ronaldo na mama yake, Delores

Mchezaji huyo wa Real Madrid na Ureno iliyoshinda kombe la Ulaya majuzi ameenda kisiwani humo kwa mapumziko anayoyatumia kula bata kwenye yacht.

363E10E600000578-3689023-In_safe_hands_The_yacht_s_crew_were_on_hand_to_oversee_proceedin-m-59_1468443871911

Jumatano hii ameonekana akichomwa jua la Ibiza ndani ya yacht ya kifahari akiwa na mama yake Delores na mwanae, Cristiano Jr. Kuonesha kuwa tamaduni zetu na zao ni tofauti, Ronaldo ameonekana kwenye picha hizo za mapaparazi akiwa na kipensi kifupi huku mama yake akiwa ndani ya bikini tu.

363E117200000578-3689023-image-a-16_1468441378588

Kwenye picha nyingine Ronaldo anaonekana akifanyiwa massage na mama yake.

363F7BAA00000578-3689023-image-a-165_1468454431319

363E1B6B00000578-3689023-image-a-20_1468441563263

363E5C3C00000578-3689023-image-a-12_1468441114415

363E10F600000578-3689023-image-a-27_1468442475495

363E57F400000578-3689023-image-a-13_1468441154606

363E59B800000578-3689023-Having_fun_Cristiano_Jr_five_wore_turquoise_swimshorts_as_he_pla-m-58_1468443852955

363E107700000578-3689023-image-a-29_1468442521570

363E181100000578-3689023-image-a-14_1468441178538

363F7A8E00000578-3689023-image-a-157_1468453403761

363F7AA200000578-3689023-image-a-161_1468453948799

363F7ADF00000578-3689023-image-a-164_1468454427123

363F7AE600000578-3689023-Doting_dad_Cristiano_washed_down_his_son_after_a_day_frolicking_-m-8_1468465961540

363F7B2A00000578-3689023-image-a-163_1468454419998

363F7BE600000578-3689023-image-a-162_1468454347944

36400B2000000578-3689023-image-a-167_1468455371246

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents