Habari

Majanga: Jiji la Detroit la Marekani lafilisika, lashindwa kulipa wafanyakazi

Jiji la Detroit la nchini Marekani, limekuwa jiji la kwanza kubwa nchini humo kuwahi kujitangaza kuwa limefilisika kutokana na kuwa na madeni yanayofikia dola bilioni 15 ambayo haliwezi kuyalipa.

Detroit

Jiji hilo linalofahamika kwa viwanda, linatafuta huruma kutoka kwa wanaolidai wakiwemo wafanyakazi wa serikali pamoja na mafao yao. Detroit limekumbwa na matatizo kibao yanayotokana na kuanguka kwa viwanda vyake.

Kwa mujibu wa BBC, huduma za umma zinadaiwa kusitishwa kabisa huku mali kama vile ofisi na majengo 70,000 yakitelekezwa.

detroit01.sJPG_950_2000_0_75_0_50_50.sJPG_

Detroit-Ballroom

Hata hivyo, meya wa jiji hilo Dave Bing ameahidi kuwa huduma za umma zitaendelea kutolewa na wafanyakazi watalipwa. Kama mambo yasipoenda vizuri mali nyingi za serikali za jiji hilo zitauzwa ili kulipa madeni.

What Does It Mean to File For Bankruptcy?

When someone reaches the point of filing for bankruptcy they have typically endured a period of embarrassing financial, and perhaps emotional and physical, losses. Often people filing for bankruptcy are ashamed of the place where they have found themselves and they struggle to keep paying and to find help, although they are embarrassed to do so.

It’s important to know that while bankruptcy is often a humiliating point to come to financially, it is not a judgment on you as a person. It simply means that you are at a point where you can no longer continue on your current financial path.

Filing for bankruptcy is a legal proceeding where you are officially declaring that you do not have sufficient money to repay your outstanding loans and expenses.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents