Burudani

Malaika amtaja mwanaume spesho kwenye maisha yake

Malaika ni msichana mrembo ambayo macho ya wanaume wengi yanamtamani lakini yupo mtu mmoja muhimu zaidi aliyeushikilia moyo wake.

Malaika 2

Mtu huyo kwa mujibu wa Malaika, ndiye anayefanya kila kitu katika muziki wake.

“Nipo na mtu, best yangu, baada ya mama na yeye pia,” Malaika alikiambia kipindi cha Chill na Sky hivi karibuni.

“Ananisupport kwa kila kitu, kila kitu ambacho unakiona Malaika anakifanya na yeye pia.”

Amesema ndiye mtu anayeishi naye kwa sasa huku uhusiano wao ukiwa ni wa miaka minne.

Mfahamu zaidi Malaika kwa kusikiliza kipindi cha Chill na Sky hapo chini.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents