Bongo5 ExclusivesBurudaniHabari
Maluma awapeleka Rayvanny na S2kizzy Grammy
Siku ya leo vipengele vya tuzo ya Grammy vimetangazwa na habari nzuri kwa Bongo Fleva ni kwamba Ngoma Ya “Mama Tetema” (Maluma & @rayvanny ) imeingia Ndani Ya Tuzo Za Grammys 2024. Wimbo Huu Umeingia Kupitia Album Ya @maluma Iitwayo “Don Juan” Katika Kipengele Cha “Best Latino Pop Album”
Mama Tetema Ni Track No 21 Katika Album Hiyo Ya Maluma “Don Juan”
Mbbali na hilo Producer S2kizzy ndio alitengeneza ngoma hii hivyo na yeye yumo kama Mtayarishaji wa wimbo huo.
Kama bbado hujataza RECAP & MANDO link ipo chini hapa