BurudaniHabari

Roma Mkatoliki ameshuka kimuziki kutokana na Takwimu hizi – El Mando

Kupitia kwenye kipindi cha RECAP & MANDO @el_mando_tz amezungumzia sakata la marapa wa Bongo Fleva Roma Mkatoliki na Wakazi ambao siku hizi wameususa muziki na kuwa wachambbuzi wa masuala ya muziki huko Twitter.

@el_mando_tz anasema kuw aile kauli ya rapa wa Kenya Papa Jones Khaligraph Jones inaanza kuaminiki kuwa ni kweli ambapo aliwachana marapa wa Tanzania kwenye ngoma yake ya Bongo Fiver.

@el_mando_tz anaongeza kuwa amegundua kuwa muziki wa Hip Hop wa Tanzania unashushwa na wasanii wenyewe.

Anatoa sabbabu kuwa wengi wao wamekuwa wakifanya muziki mpaka msanii mwingine aanzishe topic aidha kuwa-diss au kitu kingine ila baada ya hapo wannakaa kimya.

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents