Burudani

Mama mzazi Pogba na mke wake wajirekodi wakicheza wimbo wa Diamond platnumz Waah (+ Video)

Ukiitazama video hii utajionea ni namna gani familia hii ya mchezaji mkubwa kabisa duniani anayechezea klabu ya @manchesterunited na timu ya taifa ya Ufaransa @paulpogba inavyofuatilia muziki wa Bongo Fleva hsa Diamond Platnumz.


Analia mpaka mwisho ujionee Mke wake @paulpogba @zulaypogba akicheza kwa kufuata step ambazo @diamondplatnumz huzitumia.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents