Habari

Mama mzazi wa Lulu Diva azikwa leo Muheza Tanga (+Picha)

Mamia wamejitokeza kushiriki kuuzika mwili wa mama mzazi wa msanii wa Bongo Fleva na filamu, Lulu Diva ambaye mezikwa leo Desemba 21, 2021 huko Muheza Mkoani Tanga.

Picha zote by Clouds Tv

Miongoni mwao wakiwemo wasanii wenzake wa bongo fleva na filamu pamoja na watu mashuhuri nchini.

Picha zote by Clouds Tv

Mama mzazi wa Lulu  Diva amefariki dunia Desemba 19, 2021 baada ya kuumwa kwa muda mrefu huku mwanadada huyo akishiriki kuumuguza mzazi wake.

Imeandikwa na @fumo255

Picha zote by Clouds Tv

Picha zote by Clouds Tv

Picha zote by Clouds Tv

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents