Michezo

Man United imeanza na beki wa Benfica (Picha)

Klabu ya Manchester United ya Uingereza imemsajili beki wa Benfica ya nchini Ureno, Victor Lindelof kwa ada ya pauni milioni 31.

Victor Lindelof akiingia mkataba na Manchester United

Huu utakuwa usajili wa kwanza ndani ya kikosi cha Jose Mourinho katika kipindi hiki cha majira ya joto.
Raia huyo wa Sweden amejiunga na United kwa mkataba wa miaka minne akitokea Benfica aliyo jiunga nayo toka mwaka 2012.

Mchezaji mpya wa Manchester United, Victor Lindelof akitambulisha jezi yake

Victor Lindelof  akitoka katika vipimo kabla ya kusajiliwa  Manchester United 

Victor Lindelof  akiwa na mpenzi wake Maja Nilsson  baada ya kusaini Manchester United

BY HAMZA FUMO

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents