Bongo5 ExclusivesBurudaniHabariMahojiano

Mandonga aomba kuonana na Diamond, nina mengi ya kumueleza nitoe nyongo yangu

Kupitia kipindi cha Recap na Mando @el_mando_tz ameongea mengi sana na @k_mandonga lakini @k_mandonga akiomba kukutana na @diamondplatnumz face to face.

@k_mandonga ameeleza kuwa kuna mengi sana anataka kumueleza @diamondplatnumz na kutoa kinyongo chake ili awe na furaha maana hawezi kuyaongea mambp yale hadharani.

Mbali ya kuomba kukutana na @diamondplatnumz @k_mandonga ameeleza kukerwa na kauli ya @sallam_sk kuwa aangalie asisindikeze watu kwenye utajiri.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents