Michezo
Mandonga ashinda kwa T.K.O, Mashabiki hawaamini kilichotokea (Video)
Bondia huyo ameshinda dhidi ya mpinzani wake Musa Omary usiku huu katika viwanja vya Leaders jijini Dar es Salaam kwenye kilele cha Tamasha la kihistoria la Sensabika.