MichezoPicha

Manny Pacquiao astaafu ndondi baada ya kumdunda Timothy Bradley

Bondia wa Ufilipino, Manny Pacquiao amethibitisha kustaafu masumbwi baada ya kumdunda Timothy Bradley kwenye pambano lao la Jumamosi.

330487C000000578-3532169-image-a-10_1460260603538

Pacquiao alishinda kwa pointi licha ya kumwangusha Bladley mara mbili.

3304AF4200000578-3532169-image-a-43_1460262614481

Hilo limekuwa pambano lake la kwanza baada ya kushindwa na Floyd Mayweather Jnr May mwaka jana.

33048D7D00000578-3532169-image-a-14_1460260778649

“As of now I am retired,’ alisema Pacquiao. “I am going to go home and think about it but I want to be with my family. I want to serve the people.”

330486DD00000578-0-image-a-3_1460260368784

Pacquiao anastaafu akiwa ameingiza dola milioni 500 kutokana na ndondi pamoja na endorsements katika kipindi cha miongoni miwili ya career yake.

Tazama picha zaidi:

3304A30D00000578-3532169-image-a-25_1460261803872

3304AD8A00000578-3532169-image-a-28_1460262305725

330487C000000578-3532169-image-a-10_1460260603538

330488C500000578-3532169-image-a-8_1460260519216

330491CA00000578-3532169-image-a-18_1460261183653

330492BE00000578-3532169-image-a-20_1460261374858

330492E900000578-3532169-image-a-19_1460261188951

330498ED00000578-3532169-image-a-23_1460261701050

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents