Michezo

Mashabiki wa Liverpool wanaowasili Roma kushuhudia UEFA waonywa 

Mashabiki wa klabu ya Liverpool wanao wasili Roma nchini Italia kushuhudia mchezo wa nusu fainali ya pili dhidi ya mwenyeji timu ya AS Roma wameonywa na jeshi la polisi kutozurura hovyo pasipo sababu wakati wa mchezo huo.

Police guard Liverpool supporters as they board buses at Rome's Fiumicino Airport ahead of Wednesday night's match

Maelfu ya mashabiki wa Liverpool wamewasili kwenye jiji la Roma huku hali ya ulinzi ikionekana kuimarika kila kona kuelekea ngwe ya pili ya nusu fainali ya michuano ya klabu bingwa barani Ulaya baada ya kwanza kupigwa nchini Uingereza na Liverpool kufanikiwa kuchomoza na ushindi wa mabao 5 – 2 dhidi ya AS Roma.

Some of the 5,000 Liverpool fans expected to be in Rome for the Champions League semi-final pictured at the airport

Kuzuia kwa mashabiki hao kunakuja kufuatia hofu ya kuvunjika kwa hali ya usalama huku hofu kubwa ikiwa ni kufanyiwa vitendo vya vurugu baadhi ya wafuasi wa Liverpool kutoka kwa wapinzani wao Roma.

A massive security operation has been launched by Roman police amid fears fans will be targeted by Ultras groups

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents