Michezo

Matokea ya Michuano ya Ligi ya Mabingwa barani Ulaya

Michuano ya Ligi ya Mabingwa barani Ulaya iliendelea usiku wa March 9,kwa michezo miwili kupigwa barani Ulaya. Klabu ya Chelsea ilikuwa mwenyeji wa klabu ya Paris Saint Germain ya Ufaransa, wakati Zenit walicheza dhidi ya Benfica.

article-3484559-320C23E600000578-281_636x398

320AAF2E00000578-3484559-image-a-105_1457558431609

Timu ya Chelsea ilitolewa baada ya kufungwa 2-1 na Paris Saint Germain kwenye uwanja wa Stamford Bridge, Benfica wao walishinda 2-1 dhidi ya Zenit

article-3484501-320A02CA00000578-632_636x382

Mabingwa hao wa Ufaransa walikuwa wa kwanza kupata bao dakika ya 16 kupitia kwa Adrien Rabiot lakini Chelsea wakazawazisha dakika 11 baaade mfungaji akiwa ni Diego Costa. Zlatan Ibrahimovic akamaliza shughuli kwa kuifungia PSG bao la ushindi dakika ya 67 kufuatia krosi tamu ya Angel di Maria.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents