Burudani

Picha: Vanessa Mdee ashirikishwa na Navio na Radio and Weasel

Vanessa Mdee alienda nchini Uganda kutumbuiza kwenye show maalum ya siku ya wanawake duniani.

12826027_1690865144528230_738657201_n
Vanessa akiwa na wasanii wa Uganda, Radio and Weasel

Akiwa huko hajaishia tu kutumbuiza, bali pia kufanya collabo na wasanii wa huko. Muimbaji huyo wa ‘Never Ever’ amepost picha akiwa na wasanii Radio and Weasel na kuandika: Dreams Come True believe me #HitsOnly Radio n Weasel x VeeMoney ?? #VeeMuKibuga.”

Nao wasanii hao walipost picha wakiwa naye na kuandika: Absolute, pleasure making sweet music with @vanessamdee #magic.”

12826161_1565098750470481_1764312038_n

Pia Vee Money alipost picha nyingine akiwa na Navio na kuandika: Years in the making #HitsOnly @naviomusic ?? #VeeMuKibuga.”

12750275_1696498423929818_283466575_n

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents