Bongo5 ExclusivesBurudaniHabariMahojiano
MC Dr Cheni amjibu GaraB baada ya kukosoa mavazi yake siku ya harusi ya Nandy
Msanii wa Bongo movie ambaye kwa sasa anafanya kazi za U-MC @drcheni amejibu kuhusu kauli ya MC mwenzake @mcgarab kuwa mavazi aliyovaa kwenye harusi ya @officialnandy ambapo Gara B alisema hayakuwa mazuri.
Mbali na hilo @drcheni amezungumzia uzoefu wake wa kuendesha harusi ya familia iliyozesha mabinti wake wanne.
@drcheni ameweka wazi kuwa sio kwamba walishindwana bei na @wolperstylish kuhusu harusi yake bali wakati wanamfuata walikuta tayati amechukulia na famili nyingine.