HabariMichezo

Messi alikumbuka goli la Zidane afunguka anavyomkubali

“Ninavutiwa na wewe mno ni bahati mbaya hatujawahi kucheza pamoja,”- Messi akimwambia, Zinedine Yazid Zidane (Zizou).

“Kwangu mimi wewe ni mmoja kati ya wachezaji wakubwa kwenye historia, siku zote nimekuwa nikivutiwa na wewe siku zote umekuwa mchezaji wa tofauti sana, mrefu, ana muonekano, uwezo wa hali ya juu alikuwa na kila kitu. Nilikuwa nikimfuatilia akiwa Madrid.

”Nakumbuka goli lake dhidi ya Bayer Leverkusen kwenye fainali ya UCL mwaka 2002, bao lake digrii 360 kwenye Kombe la Dunia.”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents