Miss Kinondoni 2009
Lulu Ibrahim ndiye aliyeibuka na taji la Miss Kinondoni 2009 akipunga
mkono hewani kwa wageni wa alikwa usiku wa kuamkia jumamosi pale
Mlimani City jijini Dar es Salaam
Tano bora ya Redds Miss Kinondoni 2009 ni Aloyce
Innocent, Yvone Bigilo, Sandra Mabalema, Lulu Ibrahim pamoja na Anne Ngumbi.