BurudaniVideos

MJ Records is my family – Godzilla (Video)

Rapper Godzilla amesema pamoja na kufanya kazi na maproducer wa studio zingine, MJ Records anaichukulia kama familia.

Akiongea na Bongo5, Zilla alisema amekuwa akifanya kazi na maproducer wengine kutafuta ladha tofauti lakini Master J na Marco Chali wataendelea kuwa kama ndugu zake.

“Marco Chali is my brother, MJ Records ni kama nyumbani, mimi nikikaa nyumbani kwa Mama Zilla hata nikitoka nikipanga kwangu na familia yangu lakini base kubwa yangu matatizo yakitokea lazima niyarudishe home to the family,” amesema.

“MJ is a family kwasababu wamekuwa na mimi since day one, Marco si my brother tunaongea mambo mengi lakini sometimes I need some new flavor, naye ana kazi, studio matangazo kwahiyo anahitaji afix mind yake, so wakati anafanya kazi nyingine unagusa touch zingine za maproducer wengine.”

Amedai kuwa Pancho aliyetayarisha wimbo wake ‘I Get High’ ni mtu wanayeendana sana pia.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents