Bongo5 ExclusivesBurudaniHabariMahojiano

Mke wa Dr. Mwaka amuomba Rais Samia kuingilia kati sakata lake, aomba ulinzi

Siku ya jana wakati Queen ambaye ni mke wa Dr. Mwaka amemuomba Rais Samia kuingilia kati sakata lake na Dr.Mwaka ambalo limechukua muda mrefu sana kutotolewa kwa talaka.

Queen amedai kuwa usalama wake upo hatarini sana kwa sababu kila siku kuna gari huenda kupake karibu na nyumba yake na hajui kitu gani kinaendelea.

Mbali na hilo alipewa siku 21 na bado siku 8 tu na hajui kitu gani kitaenda kumtokea baada ya siku hizo 8 kumalizika.

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents