Michezo

Mke wa Ryan Giggs adai talaka yake

Winga wa zamani wa klabu ya Manchester united ‘Ryan Giggs’ kwasasa ametengana na mke wake Stacey baada ya tuhuma kuwa Giggs amekuwa na tabia kumsaliti na wanawake tofauti.

championships-wimbledon-2012-day-six

Mambo haya yameibuka baada ya ukaribu wa kimapenzi wa Giggs na mfanya kazi wake wa kike kwenye mgahawa wake uliopo mjini Manchester.

2giggs-main_2835630a

Giggs na mke wake ambao walifunga ndoa September 2007,siku za hivi katikati Gigs alihusishwa kumsaliti mke wake na wanawake kama model Imogen Thomas na mke wa mdogo wake Natasha Lever ila inasemekana alitumia nguvu na pesa kuzuia stori hizi kusamba lakini ilishindika kwa asilimia 100.

03_02003303_8b6528_2835671a
Huu ndo mchepuko unao tikisa ndoa ya Giggs’ anaitwa Kate

Saivi kuna taarifa mpya kuwa mke wa Giggs anataka talaka yake sasa.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents