Mkubwa Fella awataka wasanii kuwa wamoja kwenye mambo ya kitaifa kama tuzo (Video)

“Mimi siku nikimuona mtu ana jambo la kitaifa hata awe adui gani upande wangu, lazima nimpost na nimuombee naomba tumpe-support mwana huyo” alisema Mkubwa Fella.

Kuhusu wasanii waliotoka WCB na kuonekana kama maadui wa lebo hiyo Mkubwa Fella alisema ”Hakuna adui aliyetoka pale akasema huyu anadhuru kampuni yetu hakuna, ni maneno yakawaida hata kwenye kanga yapo”

Aliongeza, “Lakini hakuna yule huyu leo katugusa kama ile WCB kang’oa ile W, hapo hatuwezi kukubali lazima tupambane kidogo.,”

Related Articles

Back to top button