Mkuu wa mkoa wa Mtwara awataka waganga wa asili na wananchi wenye uwezo wa kutibu tatizo la upumuaji (+ Video)

Mkuu wa mkoa wa Mtwara, Gelasius Byakanwa, amefungua milango kwa waganga na wananchi ambao wana uwezo wa kutibu maradhi yote ya mfumo wa Upumuaji, kufika ofisini kwake kujitambulisha ili waweze kusajiliwa kwa ajili ya kutoa huduma za matibabu kwa wagonjwa wanaosumbuliwa na maradhi hayo.

Bofya hapa chini kutazama.

 

https://www.instagram.com/tv/CLofzzIhM65/

 

Related Articles

Back to top button
Close