Burudani

Mr. Nice na Harmonize wapigana vikumbo Rwanda (video+picha)

Msanii mkongwe wa muziki wa Bongo Fleva, Mr. Nice jana usiku amefanya show ya babu kubwa nchini Rwanda kwenye tamasha la Seka Fest lililohudhuriwa na mastaa kibao akiwemo Idris Sultan, Erick Omondi na Miss Rwanda mwaka 2018, Liliane Iradukunda.

Show hiyo iliyojaza ukumbi mkubwa wa burudani nchini Rwanda wa Camp Kigali, ulijawa na shangwe za makelele mkali huyo wa TAKEU alivyoanza kutumbuiza jukwaani.

Show hiyo ambayo ni moja kati ya matamasha makubwa nchini Rwanda ambalo hufanywa mara  moja kwa mwaka limefanyika masaa machache baada ya msanii mwingine  kutoka Tanzania, Harmonize ambaye naye alikonga nyoyo za mashabiki nchini humo kwa kupiga show ya kibabe.

Hali hiyo imeleta mfananisho wa show zote mbili ambapo bila ubishi show zote mbili zilipiga nyomi.

Tazama picha za show ya jana aliyotumbuiza Mr. Nice nchini Rwanda.

Mr Nice yataramiye abanyarwanda abibutsa bya bihe...
Mr. Nice

Amagana y'abanyarwanda yari yateraniye muri Camp Kigali

Jordan Mushambokazi wari muri Miss Rwanda 2018

Akanyamuneza kagaragaraga ku maso y'abitabiriye

Miss Ingabire Habiba (ibumoso) ntiyari kuhatangwa

Miss Rwanda 2018 Liliane Iradukunda yirekuye kubera urwenya
Miss Rwanda mwaka 2018, Liliane Iradukunda

Indirimbo 'MAMA' ya Mr Nice yayituye ababuze ababyeyi babo

Abitabiriye bishimiye kongera kumva Fagilia na Kikulacho

Idris Sultan

Photos by inyarwanda.rw

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents