Burudani

MrTtouch amkwapua msanii wa Nay, ‘Nay ametoa hits kali kuliko Muziki Gani’ (Video)

Aliyekuwa mtayarishaji wa muziki wa hip hop kutoka Free Nation ya Nay wa Mitego, MrTtouch amefunguka kuzungumzia mahusiano yake na msanii mpya aitwae Bgway ambaye alikuwa chini ya rapa, Nay wa Mitego. Rapa huyo alimtambulisha muimbaji huyo kwamba ni msanii wake mpya ambaye ameanza kumsimamia.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents