BurudaniHabariMuziki

Msanii BNXN wa Nigeria ameachia Album yake ‘Sincerelybenson’

Msanii @toyourears BNXN kutoka Nigeria ameachia Album yake kali iitwayo #sincerelybenson.

Album hii ikiwa na Nyimbo kali 15, akielezea safari yake ki muziki,
Huku akiwashirikisha wasanii Nguli kama Kizz Daniels, 2baba, Popkaan, Seyi Vibes, Taves pamoja na Headie one.

BNXN aliyekuwa anajulikana kama #Buju alianza safari yake ya muziki kwa kuimba covers Za nyimbo hukO YouTube na kuteka umati wa mashabiki kwa ujuzi na sauti yake.

Albulm hii inapatikana kwenye platforms zote kupitia link iliyopo hapa chini

https://music.empi.re/sincerelybenson

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents