Habari

Washindi 8 wa Maokoto ndani ya Kizibo

Wawakilishi kutoka SBL wakitangaza washindi 8 Raundi ya 8 katika droo ya camping ya Maokoto ndani ya Kizibo chini ya kampuni ya bia ya SBL. Washindi hao ni Karisto Alfred kutoka Buza,Juma Malambo kutoka Malamba mawili, Beatrice Mazembe kutoka Buza, Fatuma Sudi kutoka Kilimanjaro, Nashnat Kayumbu kutoka Songea, Mrashan Kilabila kutoka Mwanza, Gardna Mwakyusa Kutoka Tabora na Maimuna Ałły kutoka Morogoro wote wamejishindia kiasi cha shilingi za kitanznaia Laki tano.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents